Ayubu 37:19
Job 37:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Tuambieni yatupasayo kumwambia; hatuwezi kutayarisha shauri letu kwa sababu ya ujinga wetu.
Job 37:19 in English
Job 37:19 · Berean Standard Bible
Teach us what we should say to Him; we cannot draw up our case when our faces are in darkness.
Context
17Wewe unayeshindwa na joto katika nguo zako
wakati nchi imenyamazishwa kimya bila upepo wa kusini, 18je, waweza kuungana naye katika kuzitandaza anga,
zilizo ngumu kama kioo cha shaba ya kuyeyushwa? 19“Tuambieni yatupasayo kumwambia;
hatuwezi kutayarisha shauri letu kwa sababu ya ujinga wetu. 20Je, aambiwe kwamba nataka kuongea?
Je, yuko mtu ambaye angeomba kumezwa? 21Basi hakuna awezaye kulitazama jua,
jinsi linavyongʼaa angani,
upepo ukishafagia mawingu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.