Ayubu 37:22
Job 37:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kutoka kaskazini yeye huja na fahari kuu; Mungu huja katika utukufu wa kutisha.
Job 37:22 in English
Job 37:22 · Berean Standard Bible
Out of the north He comes in golden splendor; awesome majesty surrounds Him.
Context
20Je, aambiwe kwamba nataka kuongea?
Je, yuko mtu ambaye angeomba kumezwa? 21Basi hakuna awezaye kulitazama jua,
jinsi linavyongʼaa angani,
upepo ukishafagia mawingu. 22Kutoka kaskazini yeye huja na fahari kuu;
Mungu huja katika utukufu wa kutisha. 23Yeye Mwenyezi hatuwezi kumfikia, naye ametukuzwa katika uweza;
katika hukumu zake na haki yake kuu, hataonea. 24Kwa hiyo, wanadamu mheshimuni,
kwa kuwa yeye hamstahi yeyote anayejidhania kuwa ana hekima.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.