Native Bible

Job 37:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye Mwenyezi hatuwezi kumfikia, naye ametukuzwa katika uweza; katika hukumu zake na haki yake kuu, hataonea.

Job 37:23 in English

Job 37:23 · Berean Standard Bible

The Almighty is beyond our reach; He is exalted in power! In His justice and great righteousness He does not oppress.

Context

21Basi hakuna awezaye kulitazama jua, jinsi linavyongʼaa angani, upepo ukishafagia mawingu. 22Kutoka kaskazini yeye huja na fahari kuu; Mungu huja katika utukufu wa kutisha. 23Yeye Mwenyezi hatuwezi kumfikia, naye ametukuzwa katika uweza; katika hukumu zake na haki yake kuu, hataonea. 24Kwa hiyo, wanadamu mheshimuni, kwa kuwa yeye hamstahi yeyote anayejidhania kuwa ana hekima.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.