Native Bible

Job 37:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo, wanadamu mheshimuni, kwa kuwa yeye hamstahi yeyote anayejidhania kuwa ana hekima.”

Job 37:24 in English

Job 37:24 · Berean Standard Bible

Therefore, men fear Him, for He is not partial to the wise in heart.”

Context

22Kutoka kaskazini yeye huja na fahari kuu; Mungu huja katika utukufu wa kutisha. 23Yeye Mwenyezi hatuwezi kumfikia, naye ametukuzwa katika uweza; katika hukumu zake na haki yake kuu, hataonea. 24Kwa hiyo, wanadamu mheshimuni, kwa kuwa yeye hamstahi yeyote anayejidhania kuwa ana hekima.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.