Ayubu 37:8
Job 37:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanyama hujificha; hubakia kwenye mapango yao.
Job 37:8 in English
Job 37:8 · Berean Standard Bible
The wild animals enter their lairs; they settle down in their dens.
Context
6Huiambia theluji, ‘Anguka juu ya dunia,’
nayo manyunyu ya mvua, ‘Uwe mvua ya nguvu.’ 7Ili wanadamu wote aliowaumba wapate kujua kazi zake,
yeye humzuilia kila mtu shughuli zake. 8Wanyama hujificha;
hubakia kwenye mapango yao. 9Dhoruba hutoka katika chumba chake,
baridi hutoka katika upepo uendao kasi. 10Pumzi ya Mungu hutoa barafu,
eneo kubwa la maji huganda.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.