Ayubu 37:7
Job 37:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ili wanadamu wote aliowaumba wapate kujua kazi zake, yeye humzuilia kila mtu shughuli zake.
Job 37:7 in English
Job 37:7 · Berean Standard Bible
He seals up the hand of every man, so that all men may know His work.
Context
5Sauti ya Mungu hunguruma kwa namna za ajabu;
yeye hutenda mambo makuu kupita ufahamu wetu. 6Huiambia theluji, ‘Anguka juu ya dunia,’
nayo manyunyu ya mvua, ‘Uwe mvua ya nguvu.’ 7Ili wanadamu wote aliowaumba wapate kujua kazi zake,
yeye humzuilia kila mtu shughuli zake. 8Wanyama hujificha;
hubakia kwenye mapango yao. 9Dhoruba hutoka katika chumba chake,
baridi hutoka katika upepo uendao kasi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.