Native Bible

Job 35:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye hajibu wakati watu waliapo kwa sababu ya kiburi cha watu waovu.

Job 35:12 in English

Job 35:12 · Berean Standard Bible

There they cry out, but He does not answer, because of the pride of evil men.

Context

10Lakini hakuna asemaye, ‘Yuko wapi Mungu Muumba wangu, yeye anifanyaye niimbe usiku, 11yeye atufundishaye sisi zaidi kuliko wanyama wa dunia, na kutufanya wenye hekima kuliko ndege wa angani?’ 12Yeye hajibu wakati watu waliapo kwa sababu ya kiburi cha watu waovu. 13Naam, Mungu hasikilizi maombi yao ya ubatili; Mwenyezi hayazingatii. 14Si zaidi sana kwamba hatakusikiliza wewe usemapo humwoni, tena ya kwamba shauri lako liko mbele zake na wewe lazima umngojee,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.