Ayubu 35:13
Job 35:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Naam, Mungu hasikilizi maombi yao ya ubatili; Mwenyezi hayazingatii.
Job 35:13 in English
Job 35:13 · Berean Standard Bible
Surely God does not listen to empty pleas, and the Almighty does not take note of it.
Context
11yeye atufundishaye sisi zaidi kuliko wanyama wa dunia,
na kutufanya wenye hekima kuliko ndege wa angani?’ 12Yeye hajibu wakati watu waliapo
kwa sababu ya kiburi cha watu waovu. 13Naam, Mungu hasikilizi maombi yao ya ubatili;
Mwenyezi hayazingatii. 14Si zaidi sana kwamba hatakusikiliza
wewe usemapo humwoni,
tena ya kwamba shauri lako liko mbele zake
na wewe lazima umngojee, 15pia zaidi, kwamba hasira yake kamwe haiadhibu
wala haangalii uovu hata kidogo?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.