Native Bible

Job 35:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

pia zaidi, kwamba hasira yake kamwe haiadhibu wala haangalii uovu hata kidogo?

Job 35:15 in English

Job 35:15 · Berean Standard Bible

and further, that in His anger He has not punished or taken much notice of folly!

Context

13Naam, Mungu hasikilizi maombi yao ya ubatili; Mwenyezi hayazingatii. 14Si zaidi sana kwamba hatakusikiliza wewe usemapo humwoni, tena ya kwamba shauri lako liko mbele zake na wewe lazima umngojee, 15pia zaidi, kwamba hasira yake kamwe haiadhibu wala haangalii uovu hata kidogo? 16Hivyo Ayubu hufumbua kinywa chake kwa maneno yasiyo na maana; anaongea maneno mengi bila maarifa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.