Native Bible

Job 35:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini hakuna asemaye, ‘Yuko wapi Mungu Muumba wangu, yeye anifanyaye niimbe usiku,

Job 35:10 in English

Job 35:10 · Berean Standard Bible

But no one asks, ‘Where is God my Maker, who gives us songs in the night,

Context

8Uovu wako unamdhuru tu mtu mwingine kama wewe, nayo haki yako inawafaa wanadamu tu. 9“Wanadamu hulia kwa kulemewa na mateso; huomba msaada kutoka mkono wenye nguvu. 10Lakini hakuna asemaye, ‘Yuko wapi Mungu Muumba wangu, yeye anifanyaye niimbe usiku, 11yeye atufundishaye sisi zaidi kuliko wanyama wa dunia, na kutufanya wenye hekima kuliko ndege wa angani?’ 12Yeye hajibu wakati watu waliapo kwa sababu ya kiburi cha watu waovu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.