Ayubu 35:9
Job 35:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Wanadamu hulia kwa kulemewa na mateso; huomba msaada kutoka mkono wenye nguvu.
Job 35:9 in English
Job 35:9 · Berean Standard Bible
Men cry out under great oppression; they plead for relief from the arm of the mighty.
Context
7Kama wewe ni mwadilifu, unampa nini,
au yeye anapokea nini mkononi kwako? 8Uovu wako unamdhuru tu mtu mwingine kama wewe,
nayo haki yako inawafaa wanadamu tu. 9“Wanadamu hulia kwa kulemewa na mateso;
huomba msaada kutoka mkono wenye nguvu. 10Lakini hakuna asemaye, ‘Yuko wapi Mungu Muumba wangu,
yeye anifanyaye niimbe usiku, 11yeye atufundishaye sisi zaidi kuliko wanyama wa dunia,
na kutufanya wenye hekima kuliko ndege wa angani?’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.