Native Bible

Job 35:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama wewe ni mwadilifu, unampa nini, au yeye anapokea nini mkononi kwako?

Job 35:7 in English

Job 35:7 · Berean Standard Bible

If you are righteous, what do you give Him, or what does He receive from your hand?

Context

5Tazama juu mbinguni ukaone; yaangalie mawingu yaliyo juu sana juu yako. 6Je, ukitenda dhambi, inamdhuruje Mungu? Kama dhambi zako zikiwa nyingi, hilo linamfanyia nini Mungu? 7Kama wewe ni mwadilifu, unampa nini, au yeye anapokea nini mkononi kwako? 8Uovu wako unamdhuru tu mtu mwingine kama wewe, nayo haki yako inawafaa wanadamu tu. 9“Wanadamu hulia kwa kulemewa na mateso; huomba msaada kutoka mkono wenye nguvu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.