Native Bible

Job 35:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, ukitenda dhambi, inamdhuruje Mungu? Kama dhambi zako zikiwa nyingi, hilo linamfanyia nini Mungu?

Job 35:6 in English

Job 35:6 · Berean Standard Bible

If you sin, what do you accomplish against Him? If you multiply your transgressions, what do you do to Him?

Context

4“Ningependa nikujibu wewe pamoja na marafiki zako walio pamoja nawe. 5Tazama juu mbinguni ukaone; yaangalie mawingu yaliyo juu sana juu yako. 6Je, ukitenda dhambi, inamdhuruje Mungu? Kama dhambi zako zikiwa nyingi, hilo linamfanyia nini Mungu? 7Kama wewe ni mwadilifu, unampa nini, au yeye anapokea nini mkononi kwako? 8Uovu wako unamdhuru tu mtu mwingine kama wewe, nayo haki yako inawafaa wanadamu tu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.