Ayubu 35:4
Job 35:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ningependa nikujibu wewe pamoja na marafiki zako walio pamoja nawe.
Job 35:4 in English
Job 35:4 · Berean Standard Bible
I will reply to you and to your friends as well.
Context
2“Je, unadhani hili ni haki?
Wewe unasema, ‘Nina haki mbele za Mungu.’ 3Bado unamuuliza, ‘Ni faida gani nimepata,
na imenifaidi nini kwa kutokutenda dhambi?’ 4“Ningependa nikujibu wewe
pamoja na marafiki zako walio pamoja nawe. 5Tazama juu mbinguni ukaone;
yaangalie mawingu yaliyo juu sana juu yako. 6Je, ukitenda dhambi, inamdhuruje Mungu?
Kama dhambi zako zikiwa nyingi,
hilo linamfanyia nini Mungu?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.