Ayubu 32:7
Job 32:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nilifikiri, ‘Yafaa umri useme, nao wingi wa miaka ungefundisha hekima.’
Job 32:7 in English
Job 32:7 · Berean Standard Bible
I thought that age should speak, and many years should teach wisdom.
Context
5Lakini alipoona watu hao watatu hawakuwa na kitu zaidi cha kusema, hasira yake ikaamka. 6Basi Elihu mwana wa Barakeli wa kabila la Buzi akasema:
“Mimi ni mdogo kwa umri,
nanyi ni wazee;
ndiyo sababu niliogopa,
sikuthubutu kuwaambia kile ninachojua. 7Nilifikiri, ‘Yafaa umri useme,
nao wingi wa miaka ungefundisha hekima.’ 8Lakini ni Roho iliyoko ndani ya mwanadamu,
pumzi ya Mwenyezi, ndiyo impayo yeye ufahamu. 9Sio wazee peke yao walio na hekima,
sio wenye umri mkubwa peke yao wanaofahamu lililo sawa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.