Ayubu 32:9
Job 32:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sio wazee peke yao walio na hekima, sio wenye umri mkubwa peke yao wanaofahamu lililo sawa.
Job 32:9 in English
Job 32:9 · Berean Standard Bible
It is not only the old * who are wise, or the elderly who understand justice.
Context
7Nilifikiri, ‘Yafaa umri useme,
nao wingi wa miaka ungefundisha hekima.’ 8Lakini ni Roho iliyoko ndani ya mwanadamu,
pumzi ya Mwenyezi, ndiyo impayo yeye ufahamu. 9Sio wazee peke yao walio na hekima,
sio wenye umri mkubwa peke yao wanaofahamu lililo sawa. 10“Kwa hiyo nasema: Nisikilizeni mimi;
mimi nami nitawaambia lile ninalojua. 11Nilingojea mlipokuwa mnaongea,
nilizisikiliza hoja zenu;
mlipokuwa mkitafuta maneno ya kusema,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.