Native Bible

Job 32:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kwa hiyo nasema: Nisikilizeni mimi; mimi nami nitawaambia lile ninalojua.

Job 32:10 in English

Job 32:10 · Berean Standard Bible

Therefore I say, ‘Listen to me; I too will declare what I know.’

Context

8Lakini ni Roho iliyoko ndani ya mwanadamu, pumzi ya Mwenyezi, ndiyo impayo yeye ufahamu. 9Sio wazee peke yao walio na hekima, sio wenye umri mkubwa peke yao wanaofahamu lililo sawa. 10“Kwa hiyo nasema: Nisikilizeni mimi; mimi nami nitawaambia lile ninalojua. 11Nilingojea mlipokuwa mnaongea, nilizisikiliza hoja zenu; mlipokuwa mkitafuta maneno ya kusema, 12niliwasikiliza kwa makini. Lakini hakuna hata mmoja wenu aliyethibitisha kwamba Ayubu amekosa; hakuna hata mmoja wenu aliyeweza kujibu hoja zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.