Native Bible

Job 3:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Giza na kivuli kikuu kiikalie tena; wingu na likae juu yake; weusi na uifunike nuru yake.

Job 3:5 in English

Job 3:5 · Berean Standard Bible

May darkness and gloom reclaim it, and a cloud settle over it; may the blackness of the day overwhelm it.

Context

3“Siku ya kuzaliwa kwangu na ipotelee mbali, nao usiku ule iliposemekana, ‘Mtoto wa kiume amezaliwa!’ 4Siku ile na iwe giza; Mungu juu na asiiangalie; nayo nuru isiiangazie. 5Giza na kivuli kikuu kiikalie tena; wingu na likae juu yake; weusi na uifunike nuru yake. 6Usiku ule na ushikwe na giza kuu; usihesabiwe katika siku za mwaka, wala usihesabiwe katika siku za mwezi wowote. 7Usiku ule na uwe tasa; sauti ya furaha na isisikike ndani yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.