Native Bible

Job 3:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Siku ile na iwe giza; Mungu juu na asiiangalie; nayo nuru isiiangazie.

Job 3:4 in English

Job 3:4 · Berean Standard Bible

If only that day had turned to darkness! May God above disregard it; may no light shine upon it.

Context

2Kisha akasema: 3“Siku ya kuzaliwa kwangu na ipotelee mbali, nao usiku ule iliposemekana, ‘Mtoto wa kiume amezaliwa!’ 4Siku ile na iwe giza; Mungu juu na asiiangalie; nayo nuru isiiangazie. 5Giza na kivuli kikuu kiikalie tena; wingu na likae juu yake; weusi na uifunike nuru yake. 6Usiku ule na ushikwe na giza kuu; usihesabiwe katika siku za mwaka, wala usihesabiwe katika siku za mwezi wowote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.