Native Bible

Job 3:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha akasema:

Job 3:2 in English

Job 3:2 · Berean Standard Bible

And this is what he said:

Context

1Baada ya jambo hili, Ayubu akafumbua kinywa chake na kuilaani siku ya kuzaliwa kwake. 2Kisha akasema: 3“Siku ya kuzaliwa kwangu na ipotelee mbali, nao usiku ule iliposemekana, ‘Mtoto wa kiume amezaliwa!’ 4Siku ile na iwe giza; Mungu juu na asiiangalie; nayo nuru isiiangazie.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.