Native Bible

Job 3:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya jambo hili, Ayubu akafumbua kinywa chake na kuilaani siku ya kuzaliwa kwake.

Job 3:1 in English

Job 3:1 · Berean Standard Bible

After this, Job opened his mouth and cursed the day of his birth.

Context

1Baada ya jambo hili, Ayubu akafumbua kinywa chake na kuilaani siku ya kuzaliwa kwake. 2Kisha akasema: 3“Siku ya kuzaliwa kwangu na ipotelee mbali, nao usiku ule iliposemekana, ‘Mtoto wa kiume amezaliwa!’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.