Ayubu 3:3
Job 3:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Siku ya kuzaliwa kwangu na ipotelee mbali, nao usiku ule iliposemekana, ‘Mtoto wa kiume amezaliwa!’
Job 3:3 in English
Job 3:3 · Berean Standard Bible
“May the day of my birth perish, and the night it was said, ‘A boy is conceived.’
Context
1Baada ya jambo hili, Ayubu akafumbua kinywa chake na kuilaani siku ya kuzaliwa kwake. 2Kisha akasema: 3“Siku ya kuzaliwa kwangu na ipotelee mbali,
nao usiku ule iliposemekana,
‘Mtoto wa kiume amezaliwa!’ 4Siku ile na iwe giza;
Mungu juu na asiiangalie;
nayo nuru isiiangazie. 5Giza na kivuli kikuu kiikalie tena;
wingu na likae juu yake;
weusi na uifunike nuru yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.