Native Bible

Job 3:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lile nililokuwa naliogopa limenijia; lile nililokuwa ninalihofia limenipata.

Job 3:25 in English

Job 3:25 · Berean Standard Bible

For the thing I feared has overtaken me, and what I dreaded has befallen me.

Context

23Kwa nini uhai hupewa mtu ambaye njia yake imefichika, ambaye Mungu amemzungushia boma? 24Kwa maana kulia kwangu kwa uchungu kwanijia badala ya chakula; kusononeka kwangu kunamwagika kama maji. 25Lile nililokuwa naliogopa limenijia; lile nililokuwa ninalihofia limenipata. 26Sina amani, wala utulivu; sina pumziko, bali taabu tu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.