Native Bible

Job 3:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sina amani, wala utulivu; sina pumziko, bali taabu tu.”

Job 3:26 in English

Job 3:26 · Berean Standard Bible

I am not at ease or quiet; I have no rest, for trouble has come.”

Context

24Kwa maana kulia kwangu kwa uchungu kwanijia badala ya chakula; kusononeka kwangu kunamwagika kama maji. 25Lile nililokuwa naliogopa limenijia; lile nililokuwa ninalihofia limenipata. 26Sina amani, wala utulivu; sina pumziko, bali taabu tu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.