Native Bible

Job 27:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, anaweza kumfurahia Mwenyezi? Je, atamwita Mungu nyakati zote?

Job 27:10 in English

Job 27:10 · Berean Standard Bible

Will he delight in the Almighty? Will he call upon God at all times?

Context

8Kwa maana mtu asiyemcha Mungu analo tegemeo gani anapokatiliwa mbali, Mungu anapouondoa uhai wake? 9Je, Mungu husikiliza kilio chake, shida zimjiapo? 10Je, anaweza kumfurahia Mwenyezi? Je, atamwita Mungu nyakati zote? 11“Nitawafundisha juu ya uweza wa Mungu; njia za Mwenyezi sitazificha. 12Ninyi nyote mmeona hili wenyewe. Ni ya nini basi mazungumzo haya yasiyo na maana?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.