Ayubu 27:8
Job 27:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana mtu asiyemcha Mungu analo tegemeo gani anapokatiliwa mbali, Mungu anapouondoa uhai wake?
Job 27:8 in English
Job 27:8 · Berean Standard Bible
For what is the hope of the godless when he is cut off, when God takes away his life?
Context
6Nitadumisha haki yangu wala sitaiacha;
dhamiri yangu haitanisuta muda wote ninaoishi. 7“Watesi wangu wawe kama waovu,
nao adui zangu wawe kama wasio haki! 8Kwa maana mtu asiyemcha Mungu
analo tegemeo gani anapokatiliwa mbali,
Mungu anapouondoa uhai wake? 9Je, Mungu husikiliza kilio chake,
shida zimjiapo? 10Je, anaweza kumfurahia Mwenyezi?
Je, atamwita Mungu nyakati zote?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.