Native Bible

Job 27:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Watesi wangu wawe kama waovu, nao adui zangu wawe kama wasio haki!

Job 27:7 in English

Job 27:7 · Berean Standard Bible

May my enemy be like the wicked and my opponent like the unjust.

Context

5Sitakubaliana nanyi kabisa kuwa mko sahihi; hadi nife, sitakana uadilifu wangu. 6Nitadumisha haki yangu wala sitaiacha; dhamiri yangu haitanisuta muda wote ninaoishi. 7“Watesi wangu wawe kama waovu, nao adui zangu wawe kama wasio haki! 8Kwa maana mtu asiyemcha Mungu analo tegemeo gani anapokatiliwa mbali, Mungu anapouondoa uhai wake? 9Je, Mungu husikiliza kilio chake, shida zimjiapo?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.