Ayubu 27:5
Job 27:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sitakubaliana nanyi kabisa kuwa mko sahihi; hadi nife, sitakana uadilifu wangu.
Job 27:5 in English
Job 27:5 · Berean Standard Bible
I will never say that you are right; I will maintain my integrity until I die.
Context
3kwa muda wote nitakaokuwa na uhai ndani yangu,
nayo pumzi ya Mungu ikiwa puani mwangu, 4midomo yangu haitanena uovu,
wala ulimi wangu hautatamka udanganyifu. 5Sitakubaliana nanyi kabisa kuwa mko sahihi;
hadi nife, sitakana uadilifu wangu. 6Nitadumisha haki yangu wala sitaiacha;
dhamiri yangu haitanisuta muda wote ninaoishi. 7“Watesi wangu wawe kama waovu,
nao adui zangu wawe kama wasio haki!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.