Ayubu 27:12
Job 27:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninyi nyote mmeona hili wenyewe. Ni ya nini basi mazungumzo haya yasiyo na maana?
Job 27:12 in English
Job 27:12 · Berean Standard Bible
Surely all of you have seen it for yourselves. Why then do you keep up this empty talk?
Context
10Je, anaweza kumfurahia Mwenyezi?
Je, atamwita Mungu nyakati zote? 11“Nitawafundisha juu ya uweza wa Mungu;
njia za Mwenyezi sitazificha. 12Ninyi nyote mmeona hili wenyewe.
Ni ya nini basi mazungumzo haya yasiyo na maana? 13“Hili ndilo fungu ambalo Mungu humpa mtu mwovu,
urithi ule mtu mdhalimu anapokea kutoka kwa Mwenyezi: 14Hata kama watoto wake watakuwa wengi kiasi gani,
fungu lao ni kuuawa kwa upanga;
wazao wake hawatakuwa kamwe
na chakula cha kuwatosha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.