Ayubu 27:11
Job 27:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Nitawafundisha juu ya uweza wa Mungu; njia za Mwenyezi sitazificha.
Job 27:11 in English
Job 27:11 · Berean Standard Bible
I will instruct you in the power of God. I will not conceal the ways of the Almighty.
Context
9Je, Mungu husikiliza kilio chake,
shida zimjiapo? 10Je, anaweza kumfurahia Mwenyezi?
Je, atamwita Mungu nyakati zote? 11“Nitawafundisha juu ya uweza wa Mungu;
njia za Mwenyezi sitazificha. 12Ninyi nyote mmeona hili wenyewe.
Ni ya nini basi mazungumzo haya yasiyo na maana? 13“Hili ndilo fungu ambalo Mungu humpa mtu mwovu,
urithi ule mtu mdhalimu anapokea kutoka kwa Mwenyezi:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.