Ayubu 24:9
Job 24:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtoto yatima hupokonywa matitini; mtoto wachanga wa maskini hunyakuliwa kwa ajili ya deni.
Job 24:9 in English
Job 24:9 · Berean Standard Bible
The fatherless infant is snatched from the breast; the nursing child of the poor is seized for a debt.
Context
7Kwa kukosa nguo, usiku kucha hukaa uchi;
hawana chochote cha kujifunika baridi. 8Hutota kwa mvua za mlimani,
nao huikumbatia miamba kwa ajili ya kukosa pa kujisitiri. 9Mtoto yatima hupokonywa matitini;
mtoto wachanga wa maskini hunyakuliwa kwa ajili ya deni. 10Kwa kukosa nguo, hutembea uchi;
hubeba miganda ya ngano, lakini huwa na njaa. 11Hukamua zeituni katika mawe ya kusagia;
hukanyaga mashinikizo, lakini wanaona kiu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.