Native Bible

Job 24:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kukosa nguo, hutembea uchi; hubeba miganda ya ngano, lakini huwa na njaa.

Job 24:10 in English

Job 24:10 · Berean Standard Bible

Without clothing, they wander about naked. They carry the sheaves, but still go hungry.

Context

8Hutota kwa mvua za mlimani, nao huikumbatia miamba kwa ajili ya kukosa pa kujisitiri. 9Mtoto yatima hupokonywa matitini; mtoto wachanga wa maskini hunyakuliwa kwa ajili ya deni. 10Kwa kukosa nguo, hutembea uchi; hubeba miganda ya ngano, lakini huwa na njaa. 11Hukamua zeituni katika mawe ya kusagia; hukanyaga mashinikizo, lakini wanaona kiu. 12Kilio cha huzuni cha wanaokufa kinapaa kutoka mjini, nazo nafsi za waliojeruhiwa zinalilia msaada. Lakini Mungu hamlaumu mtu yeyote kwa kutenda mabaya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.