Native Bible

Job 24:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kukosa nguo, usiku kucha hukaa uchi; hawana chochote cha kujifunika baridi.

Job 24:7 in English

Job 24:7 · Berean Standard Bible

Without clothing, they spend the night naked; they have no covering against the cold.

Context

5Kama punda-mwitu jangwani, maskini huzunguka katika kazi zao za kutafuta chakula; mahali palipo jangwa huwapa chakula cha watoto wao. 6Hukusanya chakula mashambani na kuokota masazo katika mashamba ya mizabibu ya waovu. 7Kwa kukosa nguo, usiku kucha hukaa uchi; hawana chochote cha kujifunika baridi. 8Hutota kwa mvua za mlimani, nao huikumbatia miamba kwa ajili ya kukosa pa kujisitiri. 9Mtoto yatima hupokonywa matitini; mtoto wachanga wa maskini hunyakuliwa kwa ajili ya deni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.