Native Bible

Job 23:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nyayo zangu zimefuata hatua zake kwa karibu; nimeishika njia yake bila kukengeuka.

Job 23:11 in English

Job 23:11 · Berean Standard Bible

My feet have followed in His tracks; I have kept His way without turning aside.

Context

9Anapokuwa kazini pande za kaskazini, simwoni; akigeukia kusini, nako simwoni hata kidogo. 10Lakini anaijua njia niiendeayo; akiisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu. 11Nyayo zangu zimefuata hatua zake kwa karibu; nimeishika njia yake bila kukengeuka. 12Sijaziacha amri zilizotoka midomoni mwake; nimeyathamini maneno ya kinywa chake kuliko chakula changu cha kila siku. 13“Lakini yeye husimama peke yake; ni nani awezaye kumpinga? Yeye hufanya lolote atakalo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.