Native Bible

Job 23:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini anaijua njia niiendeayo; akiisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu.

Job 23:10 in English

Job 23:10 · Berean Standard Bible

Yet He knows the way I have taken; when He has tested me, I will come forth as gold.

Context

8“Lakini nikienda mashariki, hayupo; nikienda magharibi, simpati. 9Anapokuwa kazini pande za kaskazini, simwoni; akigeukia kusini, nako simwoni hata kidogo. 10Lakini anaijua njia niiendeayo; akiisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu. 11Nyayo zangu zimefuata hatua zake kwa karibu; nimeishika njia yake bila kukengeuka. 12Sijaziacha amri zilizotoka midomoni mwake; nimeyathamini maneno ya kinywa chake kuliko chakula changu cha kila siku.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.