Ayubu 23:9
Job 23:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Anapokuwa kazini pande za kaskazini, simwoni; akigeukia kusini, nako simwoni hata kidogo.
Job 23:9 in English
Job 23:9 · Berean Standard Bible
When He is at work in the north, I cannot behold Him; when He turns to the south, I cannot see Him.
Context
7Hapo mtu mwadilifu angeweka shauri lake mbele zake,
nami ningeokolewa milele na mhukumu wangu. 8“Lakini nikienda mashariki, hayupo;
nikienda magharibi, simpati. 9Anapokuwa kazini pande za kaskazini, simwoni;
akigeukia kusini, nako simwoni hata kidogo. 10Lakini anaijua njia niiendeayo;
akiisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu. 11Nyayo zangu zimefuata hatua zake kwa karibu;
nimeishika njia yake bila kukengeuka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.