Native Bible

Job 18:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tanzi litamkamata kwenye kisigino; mtego utamshikilia kwa nguvu.

Job 18:9 in English

Job 18:9 · Berean Standard Bible

A trap seizes his heel; a snare grips him.

Context

7Nguvu za hatua zake zimedhoofishwa; shauri lake baya litamwangusha. 8Miguu yake imemsukumia kwenye wavu, naye anatangatanga kwenye matundu ya wavu. 9Tanzi litamkamata kwenye kisigino; mtego utamshikilia kwa nguvu. 10Kitanzi kimefichwa ardhini kwa ajili yake; mtego uko kwenye njia yake. 11Vitisho vimemtia hofu kila upande, na adui zake humwandama kila hatua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.