Native Bible

Job 18:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Vitisho vimemtia hofu kila upande, na adui zake humwandama kila hatua.

Job 18:11 in English

Job 18:11 · Berean Standard Bible

Terrors frighten him on every side and harass his every step.

Context

9Tanzi litamkamata kwenye kisigino; mtego utamshikilia kwa nguvu. 10Kitanzi kimefichwa ardhini kwa ajili yake; mtego uko kwenye njia yake. 11Vitisho vimemtia hofu kila upande, na adui zake humwandama kila hatua. 12Janga linamwonea shauku; maafa yako tayari kwa ajili yake aangukapo. 13Nayo yatakula sehemu ya ngozi yake; mzaliwa wa kwanza wa mauti atakula maungo yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.