Ayubu 18:12
Job 18:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Janga linamwonea shauku; maafa yako tayari kwa ajili yake aangukapo.
Job 18:12 in English
Job 18:12 · Berean Standard Bible
His strength is depleted, and calamity is ready at his side.
Context
10Kitanzi kimefichwa ardhini kwa ajili yake;
mtego uko kwenye njia yake. 11Vitisho vimemtia hofu kila upande,
na adui zake humwandama kila hatua. 12Janga linamwonea shauku;
maafa yako tayari kwa ajili yake aangukapo. 13Nayo yatakula sehemu ya ngozi yake;
mzaliwa wa kwanza wa mauti atakula maungo yake. 14Atangʼolewa kutoka usalama wa hema lake,
na kupelekwa kwa mfalme wa vitisho.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.