Ayubu 18:10
Job 18:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kitanzi kimefichwa ardhini kwa ajili yake; mtego uko kwenye njia yake.
Job 18:10 in English
Job 18:10 · Berean Standard Bible
A noose is hidden in the ground, and a trap lies in his path.
Context
8Miguu yake imemsukumia kwenye wavu,
naye anatangatanga kwenye matundu ya wavu. 9Tanzi litamkamata kwenye kisigino;
mtego utamshikilia kwa nguvu. 10Kitanzi kimefichwa ardhini kwa ajili yake;
mtego uko kwenye njia yake. 11Vitisho vimemtia hofu kila upande,
na adui zake humwandama kila hatua. 12Janga linamwonea shauku;
maafa yako tayari kwa ajili yake aangukapo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.