Ayubu 18:8
Job 18:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Miguu yake imemsukumia kwenye wavu, naye anatangatanga kwenye matundu ya wavu.
Job 18:8 in English
Job 18:8 · Berean Standard Bible
For his own feet lead him into a net, and he wanders into its mesh.
Context
6Mwanga hemani mwake umekuwa giza;
taa iliyo karibu naye imezimika. 7Nguvu za hatua zake zimedhoofishwa;
shauri lake baya litamwangusha. 8Miguu yake imemsukumia kwenye wavu,
naye anatangatanga kwenye matundu ya wavu. 9Tanzi litamkamata kwenye kisigino;
mtego utamshikilia kwa nguvu. 10Kitanzi kimefichwa ardhini kwa ajili yake;
mtego uko kwenye njia yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.