Ayubu 18:3
Job 18:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa nini sisi tunafikiriwa kama wanyama, na kuonekana wajinga machoni pako?
Job 18:3 in English
Job 18:3 · Berean Standard Bible
Why are we regarded as cattle, as stupid in your sight?
Context
1Bildadi Mshuhi akajibu: 2“Je, ni lini utafika mwisho wa maneno haya?
Uwe mwenye busara, nasi ndipo tutakapoweza kuongea. 3Kwa nini sisi tunafikiriwa kama wanyama,
na kuonekana wajinga machoni pako? 4Wewe unayejirarua mwenyewe vipande vipande
katika hasira yako,
je, dunia iachwe kwa ajili yako wewe?
Au ni lazima miamba iondolewe mahali pake? 5“Taa ya mwovu imezimwa,
nao mwali wa moto wake umezimika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.