Native Bible

Job 18:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Je, ni lini utafika mwisho wa maneno haya? Uwe mwenye busara, nasi ndipo tutakapoweza kuongea.

Job 18:2 in English

Job 18:2 · Berean Standard Bible

“How long until you end these speeches? Show some sense, and then we can talk.

Context

1Bildadi Mshuhi akajibu: 2“Je, ni lini utafika mwisho wa maneno haya? Uwe mwenye busara, nasi ndipo tutakapoweza kuongea. 3Kwa nini sisi tunafikiriwa kama wanyama, na kuonekana wajinga machoni pako? 4Wewe unayejirarua mwenyewe vipande vipande katika hasira yako, je, dunia iachwe kwa ajili yako wewe? Au ni lazima miamba iondolewe mahali pake?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.