Native Bible

Job 18:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bildadi Mshuhi akajibu:

Job 18:1 in English

Job 18:1 · Berean Standard Bible

Then Bildad the Shuhite replied:

Context

1Bildadi Mshuhi akajibu: 2“Je, ni lini utafika mwisho wa maneno haya? Uwe mwenye busara, nasi ndipo tutakapoweza kuongea. 3Kwa nini sisi tunafikiriwa kama wanyama, na kuonekana wajinga machoni pako?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.