Native Bible

Job 16:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata sasa shahidi wangu yuko mbinguni; wakili wangu yuko juu.

Job 16:19 in English

Job 16:19 · Berean Standard Bible

Even now my witness is in heaven, and my advocate is on high.

Context

17Hata hivyo mikono yangu haijafanya jeuri, na maombi yangu ni safi. 18“Ee nchi, usiifunike damu yangu, nacho kilio changu kisinyamazishwe kamwe. 19Hata sasa shahidi wangu yuko mbinguni; wakili wangu yuko juu. 20Mwombezi wangu ni rafiki yangu macho yangu yamwagapo machozi kwa Mungu; 21kwa niaba ya mtu anamsihi Mungu kama mtu anavyosihi kwa ajili ya rafiki yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.