Ayubu 16:20
Job 16:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwombezi wangu ni rafiki yangu macho yangu yamwagapo machozi kwa Mungu;
Job 16:20 in English
Job 16:20 · Berean Standard Bible
My friends are my scoffers as my eyes pour out tears to God.
Context
18“Ee nchi, usiifunike damu yangu,
nacho kilio changu kisinyamazishwe kamwe. 19Hata sasa shahidi wangu yuko mbinguni;
wakili wangu yuko juu. 20Mwombezi wangu ni rafiki yangu
macho yangu yamwagapo machozi kwa Mungu; 21kwa niaba ya mtu anamsihi Mungu
kama mtu anavyosihi kwa ajili ya rafiki yake. 22“Ni miaka michache tu itapita
kabla sijaenda safari ambayo sitarudi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.