Native Bible

Job 16:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa niaba ya mtu anamsihi Mungu kama mtu anavyosihi kwa ajili ya rafiki yake.

Job 16:21 in English

Job 16:21 · Berean Standard Bible

Oh, that a man might plead with God as he pleads with his neighbor!

Context

19Hata sasa shahidi wangu yuko mbinguni; wakili wangu yuko juu. 20Mwombezi wangu ni rafiki yangu macho yangu yamwagapo machozi kwa Mungu; 21kwa niaba ya mtu anamsihi Mungu kama mtu anavyosihi kwa ajili ya rafiki yake. 22“Ni miaka michache tu itapita kabla sijaenda safari ambayo sitarudi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.