Native Bible

Job 16:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata hivyo mikono yangu haijafanya jeuri, na maombi yangu ni safi.

Job 16:17 in English

Job 16:17 · Berean Standard Bible

yet my hands are free of violence and my prayer is pure.

Context

15“Nimejishonea nguo ya gunia juu ya mwili wangu nami nimekizika kipaji cha uso wangu kwenye vumbi. 16Uso wangu umekuwa mwekundu kwa kulia, macho yangu yamepigwa na giza kuu. 17Hata hivyo mikono yangu haijafanya jeuri, na maombi yangu ni safi. 18“Ee nchi, usiifunike damu yangu, nacho kilio changu kisinyamazishwe kamwe. 19Hata sasa shahidi wangu yuko mbinguni; wakili wangu yuko juu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.