Ayubu 16:15
Job 16:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Nimejishonea nguo ya gunia juu ya mwili wangu nami nimekizika kipaji cha uso wangu kwenye vumbi.
Job 16:15 in English
Job 16:15 · Berean Standard Bible
I have sewn sackcloth over my skin; I have buried my horn in the dust.
Context
13wapiga upinde wake wananizunguka.
Bila huruma, huchoma figo zangu,
na kuimwaga nyongo yangu juu ya nchi. 14Huniponda tena na tena;
hunishambulia kama shujaa wa vita. 15“Nimejishonea nguo ya gunia juu ya mwili wangu
nami nimekizika kipaji cha uso wangu kwenye vumbi. 16Uso wangu umekuwa mwekundu kwa kulia,
macho yangu yamepigwa na giza kuu. 17Hata hivyo mikono yangu haijafanya jeuri,
na maombi yangu ni safi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.