Ayubu 13:27
Job 13:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Umeifunga miguu yangu kwenye pingu. Unazichunga kwa makini njia zangu zote kwa kutia alama kwenye nyayo za miguu yangu.
Job 13:27 in English
Job 13:27 · Berean Standard Bible
You put my feet in the stocks and stand watch over all my paths; You set a limit for the soles of my feet.
Context
25Je, utaliadhibu jani lipeperushwalo na upepo?
Je, utayasaka makapi makavu? 26Kwa kuwa unaandika mambo machungu dhidi yangu
na kunifanya nizirithi dhambi za ujana wangu. 27Umeifunga miguu yangu kwenye pingu.
Unazichunga kwa makini njia zangu zote
kwa kutia alama kwenye nyayo za miguu yangu. 28“Hivyo mwanadamu huangamia kama kitu kilichooza,
kama vazi lililoliwa na nondo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.